Search

News
Design by praegnanz

Picha za Mitindo

  1. KUSUKA KUACHIA

 Hii husukwa kidogo chini na kuachiwa juu, na husukwa kwa  aina mbalimbali za nywele zitumikazo kama hizo n.k.


Hii husukwa kidogo chini na kuachiwa juu, na husukwa kwa  aina mbalimbali za nywele zitumikazo kama hizo n.k.
KUSUKA KUACHIA


Kusuka kuachia mbele
KUSUKA KUACHIA_Mbele

Kusuka kuachia nyuma
KUSUKA KUACHIA_Nyuma.
2. VIBUTU/VITUNGUU

Nywele hizi husukwa kwa size tofauti yaani, ndogo au kubwa zaidi. Zimeitwa hivyo kutokana na kuwa moja moja mfano wa mmea wa kitunguu.


Nywele hizi husukwa kwa size tofauti yaani, ndogo au kubwa zaidi. Zimeitwa hivyo kutokana na kuwa moja moja mfano wa mmea wa kitunguu.
Vibutu/Vitunguu_kwa upande.


VIBUTU/VITUNGUU 
 VIBUTU/VITUNGUU_Kwa nyuma zikiwa zimebanwa.

 

Vibutu au Vitunguu_kwa nyuma
VIBUTU/VITUNGUU_Kwa nyuma zikiwa zimeachiwa.3.BAMIA/CARROT  Maarufu kama Yeboyebo 

Mtindo huu husukwa kwa kutumia nywele maalum na kwa style tofauti kama vile “Kilimanjaro”  yaani husukwa na kukutana pamoja katikati mithili ya mlima Kilimanjaro, na pia zinaweza kukutana pamoja pembeni au nyuma, yaani, kisogoni. Zimeitwa hivyo kwasababu ya kufanana kwake na mazao hayo.

BAMIA/CARROT  Maarufu kama Yeboyebo
BAMIA/CARROT  Maarufu kama Yeboyebo.


 

4. YEBO YEBO KILIMANJARO 

Husukwa kwa kuanzia mbele na nyingine kuanzia nyuma kisha zote hukutana katikati mithili ya kilele cha mlima Kilimanjaro na ndio sababu ya kuitwa hivyo. Mtindo huu husukwa na rika mbalimbali.

 Husukwa kwa kuanzia mbele na nyingine kuanzia nyuma kisha zote hukutana katikati mithili ya kilele cha mlima Kilimanjaro na ndio sababu ya kuitwa hivyo. Mtindo huu husukwa na rika mbalimbali.
YEBO YEBO KILIMANJARO.


YEBO YEBO KILIMANJARO
YEBO YEBO KILIMANJARO.


5. YEBOYEBO KILIMANJARO UPANDE

Mtindo huu una tofauti ndogo sana ukilinganisha na “Yebo Yebo Kilimanjaro” kwani katika mtindo huu makutano yake huwa pembeni na hivyo huitwa “Yebo Yebo Kilimanjaro Upande” kama inavyoomekana katika picha.

5.	YEBOYEBO KILIMANJARO UPANDE
YEBOYEBO KILIMANJARO UPANDE.
6. YEBO YEBO MNYOOSHO

Husukwa kuanzia mbele moja kwa moja kuelekea nyuma, na ndio sababu ya kuitwa hivyo kwa sababu ya hali yake ya kunyooka.

YEBOYEBO MNYOOSHO
YEBO YEBO MNYOOSHO.


 YEBO YEBO MNYOOSHO. YEBO YEBO MNYOOSHO
YEBO YEBO MNYOOSHO.


YEBO YEBO MNYOOSHO
YEBO YEBO MNYOOSHO.7.YEBO YEBO MKIA WA FARASI

Husukwa kuanzia mbele kuelekea nyuma na huishia na muonekano mithili ya mkia wa farasi, na ndio sababu ya kuitwa hivyo. Husukwa na rika mbalimbali. (HAKUNA PICHA)


 8. ZIG-ZAG

Ni mtindo unaosukwa kwa nywele zako au nywele maalum. Muonekano wake kama zig-zag na husukwa zaidi na wasichana kwa style mbalimbali kama “Kilimanjaro” au "Mnyoosho"

8.	ZIG-ZAG Ni mtindo unaosukwa kwa nywele zako au nywele maalum. Muonekano wake kama zig-zag na husukwa zaidi na wasichana kwa style mbalimbali kama “Kilimanjaro” au  ZIG ZAG
ZIG ZAG_Kwa mbele


ZIG ZAG
ZIG ZAG_Kwa nyuma


ZIG ZAG

ZIG ZAG_kwa upande.


9. WEAVING

Mtindo huu husukwa kwanza nywele za kawaida yaani nywele zako halisi halafu kuna nywele maalum na za aina mbalimbali huwekwa juu yake kwa kushonea, hivyo huwa na muonekano tofauti kulingana na nywele uliyoshonea kwa juu, inaweza kuwa ya mawimbi au iliyonyooka.

weaving
WEAVING_Kwa nyuma
weaving
Weaving_Kwa upande
c16c15c14c13c12c11c9c8c7c6c5c4c3c2c1r17r18r16r15r14r13r12r11r10r9r8r7r6rasta5rasta4rasta3rasta2rasta

hs9hs8hs6hs7hs5hs4relaxedrelaxedRelaxed hair